PistolGang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2013
- 392
- 44
5M!Una mtaji wa shilingi ngapi?
Magazeti yanafika Meatu baada ya muda gani?
Japokuwa Rais anatamani malaika afunge mitandao ya kijamii ila hii mitandao imeua biashara ya magazeti kwa kiasi kikubwa.
Ahahaha,poaUsiuze magazeti ya uhuru na mzalendo
Your not seriouz [emoji17]Habari zenu wana jf.Msaada kuhusu biashara ya magazeti.