Habark za jioni wadau nimejaribu kuingia leo kwenye usajili wa kampuni nikafanikiwa kupata kitu hiki RAZU 51142 jee hii ni nini na natakiwa nifungue wapi ili niendelee kutafuta majina. Au natakiwa nilipie kwanza ndio ifanye kazi.
Kwa anaefahamu naomba anijuze