Ufafanuzi dhidi ya tamko la RC Makonda ya kuhamisha magari Kigamboni

Ufafanuzi dhidi ya tamko la RC Makonda ya kuhamisha magari Kigamboni

MUUZA NGADA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2018
Posts
340
Reaction score
497
0e4f94ff7b526375e4388c8a51674490.jpg


Wanajamvi,

Mwaka 2016 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alitoa tamko la kusisitiza wafanyabiashara wote wa magari hapa Jijini Dar Kuhamishia shughuli zao rasmi eneo la Kigamboni, Manispaa ya Kigamboni.

Kitu ambacho ningependa kufahamu ni kwamba, zoezi hili litawahusu wote ama zile Yards za kuuza magari yaliyotumika (used cars) kama vile sijui Yokohama, Cosmos, Yuasa, Harab motors?

Au hadi zile firm kubwa kama
Toyota Tanzania,
Noble Motors
GF Truck & Equipment
Hansom (T) Ltd
Dt Dobie
Diamond motors
CMC Formula


6d6f3bee852407f4ce55f17f7af525cf.jpg



808971005869eb92acaa37ec5b11be23.jpg



Nawasilisha
 
Back
Top Bottom