Michael evarist
Member
- Jun 28, 2021
- 5
- 7
Nitakujibu kulingana uelewa wangu mdogo kuhusu hii course maana sijasoma hii course, course mama ya hii kitu inaitwa laboratory technician, ni watu ambao wanadili na kufanya utatuzi juu ya vimelea vya maradhiHabari naomba kufahamishwa juu ya course ya Laboratory assistant inayotolewa na vyuo vya ufundi (VETA) ni mahala gani watu wanaosoma hi kozi hii Wanahitajika.
Pia sifa za watu wanaosoma kozi hii.
Acha uongo..hiyo inaitwa medical laboratory sciences..ila kwa inayotolewa veta yenyewe inajihusisha zaidi na vipimo vya kikemikali katika viwanda ama mamlaka za maji kujua parameters mbalimbali...acha kupotosha watu.Nitakujibu kulingana uelewa wangu mdogo kuhusu hii course maana sijasoma hii course, course mama ya hii kitu inaitwa laboratory technician, ni watu ambao wanadili na kufanya utatuzi juu ya vimelea vya maradhi
Kifupi hawa watu ndio unawapelekea damu nawao wanacheki ina matatizo gani Ila Kwa upande wa infection na infestation, mfano wanacheki Malaria,UTI,HIV,Minyoo nk
Turudi kwenye mada sasa, tunaongelea Laboratory Assistant, na maana ya Assistant ni msaidizi kwahiyo naamini umepata mwanga hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakujibu kulingana uelewa wangu mdogo kuhusu hii course maana sijasoma hii course, course mama ya hii kitu inaitwa laboratory technician, ni watu ambao wanadili na kufanya utatuzi juu ya vimelea vya maradhi
Kifupi hawa watu ndio unawapelekea damu maabara nawao wanacheki ina matatizo gani Ila Kwa upande wa infection na infestation, mfano wanacheki Malaria,UTI,HIV,Minyoo nk
Turudi kwenye mada sasa, tunaongelea Laboratory Assistant, na maana ya Assistant ni msaidizi kwahiyo naamini umepata mwanga hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umesoma ukaelewa lakini post yangu, Kwanza nimesema mapema kabisa kuwa nitaelezea Kwa uelewa wangu mdogo hivo nadhani ulipaswa kujua unadeal na mtu wa namna gani nasio kuruka tu na kuniita muongoAcha uongo..hiyo inaitwa medical laboratory sciences..ila kwa inayotolewa veta yenyewe inajihusisha zaidi na vipimo vya kikemikali katika viwanda ama mamlaka za maji kujua parameters mbalimbali...acha kupotosha watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye lab wanakuwa kama. Saidia fundiHabari naomba kufahamishwa juu ya course ya Laboratory assistant inayotolewa na vyuo vya ufundi (VETA) ni mahala gani watu wanaosoma hi kozi hii Wanahitajika.
Pia sifa za watu wanaosoma kozi hii.