Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pana mdau katoa maoni yake kama ifuatavo.Baada ya maneno mengi kuzungumzwa kuhusu mgawo wa pesa kutoka caf kwenda tff ,hatimae shirikisho limetolea ufafanuzi View attachment 1633712
Siku nikigundua kuwa mimi ndiyo sababu ya ile forum kupoa vile,najitoa JFHahahahahahahaha mkuu naomba yaishie kule sitak kesiii tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HizoBaada ya maneno mengi kuzungumzwa kuhusu mgawo wa pesa kutoka caf kwenda tff ,hatimae shirikisho limetolea ufafanuzi View attachment 1633712
Sasa hivi kila rais wa shirikisho mbona tumbo jotoUchunguzi ufanywe na mamlaka za nchi kujiridhisha na miamala hiyo iliyokwenda CAF kama ilizingatia sheria za fedha au la, Je, FIFA walipotoa fedha kwa TFF waliagiza kiasi fulani kigaiwe kama posho even if CAF walikubaliana kwenye vikao vyao.
Mamlaka za nchi zizingatie fair hearing na ikibainika viongozi wa TFF wawajibishwe mara moja, wao walimfanyia roho mbaya Wambura , hivyo kila mtu abebe mzigo wake