Ufafanuzi juu ya Organogold

Ufafanuzi juu ya Organogold

MWAKALASYA

Member
Joined
Jun 22, 2015
Posts
46
Reaction score
10
Habari wana JF,

Kama kuna yeyote amejiunga na biashara ya mtandao kupitia Organo Gold anisaidie kunipa ABC zao kama vile tunapataje faida n.k
 
Ni biashara za network marketing. Mimi sijawahi fanya ila mtu wangu wa karibu anazifanya. Zina faida ila inabidi u link na watu wenye kipato cha kati na cha juu na wenye matatizo ya kiafya. Kwa matabibu wanaweza fanya biashara maana mteja akienda na pressure au tatizo lolote, then anamwambia ajaribu hiyo nayo ni tiba m-badala.

Vinginevyo haina tofauti na forever living products, network yake inavyoundwa. Kadiri unavyoingiza watu wengi kwenye network, na wakawa active nao wakaingiza watu, nao wakawa active ndivyo unavyokuwa. In short uwe na muda wa kutosha, na uwajue potential customers, na ujitahidi kuwaweka watu nao waingize watu, nao waingize watu to infinity!!!
 
Wewe Mwakalasya tafuta mtaji wako anza biashara ya kueleweka. DECI nayo hujivua gamba. Ilivyoonekana mwaka jana siyo hivyo itakavyoonekana na kuopareti mwaka kesho.
 
Ni biashara za network marketing. Mimi sijawahi fanya ila mtu wangu wa karibu anazifanya. Zina faida ila inabidi u link na watu wenye kipato cha kati na cha juu na wenye matatizo ya kiafya. Kwa matabibu wanaweza fanya biashara maana mteja akienda na pressure au tatizo lolote, then anamwambia ajaribu hiyo nayo ni tiba m-badala.

Vinginevyo haina tofauti na forever living products, network yake inavyoundwa. Kadiri unavyoingiza watu wengi kwenye network, na wakawa active nao wakaingiza watu, nao wakawa active ndivyo unavyokuwa. In short uwe na muda wa kutosha, na uwajue potential customers, na ujitahidi kuwaweka watu nao waingize watu, nao waingize watu to infinity!!!

Nimekupata mkuu
 
Karibu sana katika semina maalum iliyoandaliwa mahususi katika kutoa ufafanuzi wa kina kuhusu organo gold...njoo uongee na watu waliofanikiwa ujue biashara hii ina misingi gani ya mafanikio.
Semina hii itafanyika siku ya kesho tarehe 15/07/2015 maeneo ya posta,hakuna kiingilio ..Kwa yeyote mwenye nia ya kushiriki unaweza kuwasiliana na mimi kwa namba 0768069527.
 
Back
Top Bottom