Frumence M Kyauke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 630
- 1,262
Tafadhali tuwekane sawa, DStv haijihusishi na kurusha maudhui yasiyofaa katika jamii. Malalamiko haya yanatakiwa kupelekwa moja kwa moja kwenye channel husika. DStv wanarusha channels tofauti, sio kosa lao pale yanapotokea mambo ambayo yanahusiana na maudhui mabaya.
Kinachotakiwa kufanyika, pale tatizo hilo linapotokea ni DSTv kuelezwa kuwa channel fulani inarusha maudhui mabaya ili wachukue hatua dhidi ya channel hiyo. DStv wangepaswa kupokea shutuma ikiwa channel hiyo ni mali yao wenyewe.
Kitendo cha kushutumu DStv ni uonevu juu yao kwasababu wao hawatengenezi vipindi katika channels ambazo hawamiliki wao. Swala la shutuma ya vipindi vinavyosambaza ushoga lilitakiwa kupelekwa moja kwa moja Nickelodeon Channel, DSTv wao walipaswa kupewa taarifa kuwa channel fulani imekosea hapa na pale ili wachukue hatua.