Ufafanuzi juu za shutuma ya DStv kurusha vipindi vinavyohamasisha ushoga

Sioni tofauti na Wazee wa
" Tuna kufungulia Dunia=Kuwa unacho taka"
 
Kwenye menu mshawekewa option ya parent guide unaweza lock baadhi ya vipindi na programu

Kelele za nini wabongo bana
 
Wabongo waache unafiki,mbona hawajapiga kelele juu ya watu wanaoenda kwa mparange kwa wake zao au mademu zao?
Nchi ngumu Sana hii [emoji23] si waweke password kwenye izo channel watoto wasiangalie
 
Sioni makosa ya DSTv, mlipaswa mtoe taarifa DSTv kuwa channel fulani mambo sio, ili watoe uamuzi na sio mseme DSTv inarusha vipindi hivyo, kumbukeni kuwa DSTv haiandai vipindi vya Nickelodeon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…