marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
Kutokana na sheria za EPL kuwa tofauti kidogo na zile za Kombe la Dunia kuwa wafungaji vinara wakiringana magoli basi kiatu huamuliwa Kwa pasi za mwisho "assist" na Kama nazo Zita lingana kitaamuliwa Kwa nafasi zilizo tengenezwa("chance created ")
EPL inapokuwa Hivyo, Kama jinsi ilivyo msimu huu 2018/19 ambapo Kuna vinara watatu wa magoli wenye magoli 22 kila mmoja,
Sheria ya EPL inasema Wote watapewa kiatu tena kila mtu cha Kwake,
Na kila mmoja amepewa kiatu chake.
Hii ilishatokea hapo awali wakati Chris Sutton, Michael Owen na Dion Dublin wakiringana magoli mwaka 1997-98 na tena ikatokea mwaka 1998-99 wakati Jimmy Floyd-Hasselbaink, Michael Owen na Dwight Yorke wakiringana magoli . Pia ilitokea kwa Dimitar Berbatov na Carlos Teves mwaka 2010/11 wakati nyakati zote hizo vinara Hawa wa kuzifumania nyavu walipewa kiatu kila mmoja sawa na ilivyo mwaka huu 2018/19 Kwa Aubameyang,mane na Mohamed salah.
Chanzo Soka_app instagram
www.instagram.com

Soka Football Central on Instagram: “UFAFANUZI KIATU CHA DHAHABU EPL Kutokana na sheria za EPL kuwa tofauti kidogo na zile za Kombe la Dunia kuwa wafungaji vinara wakiringana…”
2 Likes, 0 Comments - Soka Football Central (@soka_app) on Instagram: “UFAFANUZI KIATU CHA DHAHABU EPL Kutokana na sheria za EPL kuwa tofauti kidogo na zile za Kombe la…”