UFAFANUZI: Kisandu sio Ukoo wangu na halikuwa jina Langu kiukoo na ndio maana Ukoo wa Kisandu haufanani kisura nami DJ. Don Nalimison

Hueleweki kabisa,yaani unajikanyaga na kujirudisha wewe mwenyewe
Mwaka 2017 uliandikaje?
Kuwa baba ako ni msukuma na alikuwa Dj Arusha,au unadhani tumesahau?
Huyu anaekataa kuwa jina kisandu sio lake ni yupu maana namfahamu kama ni huyo baba yake alikuwa DJ kisandu anaitwa mashaka kisandu uandishi wa habari kasoma na alikuwa anaishi kigamboni dar kwa mama kadete ambae sasa ni marehemu pia bibi huyo ni mama yake mdogo na baba yake mzee kisandu

DJ pia huyu kijana juzi tu alikuwa kivule dar kwa shangazi yake na kama anasema yuko dar kama ni yeye lazima atakuwa huko kivule nakama sio huko atakuwa mbezi kwa dada yake au kibaha naomba anibishie na ameshawahi kuwa mwalimu wa sekondari huko mwanza akapata mgogoro wa kisiasa akafutwa kazi sasa anaimba bongo freva
 

Kumbe ni ndugu yenu keshakua mwehu tayari
 
Walikufuta kazi kisa siasa?! Wewe muachie Mungu na mshahara wako siajabu wajanja wanakula hadi leo.
 
Huyu anaekataa kuwa jina kisandu sio lake ni yupu maana namfahamu kama ni huyo baba yake alikuwa DJ kisandu anaitwa mashaka kisandu uandishi wa habari...
Mkuu kama unamfahamu kiasi hicho basi chukua hatua kufuatilia kwa ndugu zake huyu mtu apelekwe mirembe. Kila siku zinavyoenda anazidi kudata.
 
Mkuu kama unamfahamu kiasi hicho basi chukua hatua kufuatilia kwa ndugu zake huyu mtu apelekwe mirembe. Kila siku zinavyoenda anazidi kudata.
TANZANIANS Citizens are too much insane. If you present True fact they ignore fact and they appreciate False Fact.
 
Mental state assessment:
-Flight of ideas
-Delusions of grandiosity
-Loosening of associations
-Tangential speech
-Persecutory delusions

Hivi huyu jamaa hana ndugu au marafiki wa karibu wamsaidie?
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… katika ubora wako.. utaenda tu USA.. usikate tamaa
 
Kipindi hicho kahama wanamfagilia balsa mwanamziki mtoto WA Dandu maana anko yake aliyekuwa WA jina Hilo alikuwa akiishi Kahama

Jamaa mmoja mrefu mpenda miwani [emoji23]

Mwana AICT

UKAME WA MAJI MNAAMKA USIKU KICHOTA MAJI. NYIE HAYA MAISHA HAYA
Daah we jamaa hapa naamini huenda tunafahamiana, huyo Dandu nimefanya nae sana biashara za vifaa vya umeme miaka hiyo.

Sent from my M2006C3LI using JamiiForums mobile app
 
Miaka hiyo kahama zilikuwa shule 2 Tu za sec wigehe na kahama

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila ck hizi kahama pamechangamka mno
mkuu ubarikiwe ,wewe ndio binadamu wa kwanza kuchat serious na kisanduπŸ˜‚
 
Hueleweki kabisa,yaani unajikanyaga na kujirudisha wewe mwenyewe.

Mwaka 2017 uliandikaje?

Kuwa baba ako ni msukuma na alikuwa Dj Arusha,au unadhani tumesahau?
nasikia amewahi ku advocate haki yake ya kutifuliwa suez canal ndipo polisi wakamdaka,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…