UFAFANUZI: Kisandu sio Ukoo wangu na halikuwa jina Langu kiukoo na ndio maana Ukoo wa Kisandu haufanani kisura nami DJ. Don Nalimison

Kisandu unakumbuka hii thread yako?

 
Kipindi hicho kahama wanamfagilia balsa mwanamziki mtoto WA Dandu maana anko yake aliyekuwa WA jina Hilo alikuwa akiishi Kahama

Jamaa mmoja mrefu mpenda miwani [emoji23]

Mwana AICT

UKAME WA MAJI MNAAMKA USIKU KICHOTA MAJI. NYIE HAYA MAISHA HAYA
Huyo jamaa anaitwa W. Dandu nilikua nakula toto lake moja hivi enzi hizo
 
We Nalimison isije kua babako ni Le mutuz black Amerika you know, maana mnafanana sura mpaka tabia, isije kua lemutuz alikudanganya kua anaitwa Curtis.
 
Mkubwa Civilian Coin una IDs ngapi halafu kwa sasa unapiga mishe gani ya kupiga pesa ama ndio unayumbisha dish kila kona
 
🀣🀣🀣🀣🀣
 
Inafikirisha Sana Mwalimu wa hesabu ambaye alifungwa Kama masihara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…