Louis II JF-Expert Member Joined Mar 9, 2018 Posts 3,030 Reaction score 4,647 Sep 1, 2018 #21 Ushimen said: Nina mpango wa kuroga, huyu mwenye anatumia picha yangu kama avatar. Click to expand... Asiyejua kuwa ni huu ni Mu"ID" Wako mpya naniππππ
Ushimen said: Nina mpango wa kuroga, huyu mwenye anatumia picha yangu kama avatar. Click to expand... Asiyejua kuwa ni huu ni Mu"ID" Wako mpya naniππππ
Genious862 Member Joined Aug 15, 2018 Posts 78 Reaction score 21 Sep 1, 2018 #22 Hebu mtu aliyejiunga Atupe elimu huenda ikawa Fursa Sent using Jamii Forums mobile app
Tamati JF-Expert Member Joined May 15, 2017 Posts 1,085 Reaction score 1,960 Sep 15, 2019 #23 Bado ufafanuzi wa kueleweka haujatolewa, fanyeni hima mtujuze undani wa hii kitu ninavutwa mkono huku nisije kuangukia korongo bure
Bado ufafanuzi wa kueleweka haujatolewa, fanyeni hima mtujuze undani wa hii kitu ninavutwa mkono huku nisije kuangukia korongo bure
U uncle JF-Expert Member Joined Dec 10, 2007 Posts 325 Reaction score 184 Sep 15, 2019 #24 Tatizo ya hizi networking business hamna mtu yuko tayari kukueleza inafanyaje wao wanataka uhudhurie semina zao wakakuonyesha wale walioko juu. Na bahati mbaya hao walioko juu sio watanzania
Tatizo ya hizi networking business hamna mtu yuko tayari kukueleza inafanyaje wao wanataka uhudhurie semina zao wakakuonyesha wale walioko juu. Na bahati mbaya hao walioko juu sio watanzania
Mkweli77 JF-Expert Member Joined Jul 26, 2013 Posts 1,459 Reaction score 1,135 Sep 19, 2019 #25 Nipo kwenye daladala hapa, Kuna Jamaa anapangwa hapa jinsi watu wanavyofanikiwa kwenye Hii kampuni ya kitapeli..!!
Nipo kwenye daladala hapa, Kuna Jamaa anapangwa hapa jinsi watu wanavyofanikiwa kwenye Hii kampuni ya kitapeli..!!
Maurice Moore Senior Member Joined Aug 22, 2018 Posts 189 Reaction score 309 Sep 19, 2019 #26 [emoji849]
S sina demu Senior Member Joined Jul 25, 2019 Posts 165 Reaction score 98 Sep 22, 2019 #27 Achana nayo hainafaida yeyote nkuchezea tu hela unaweza kwamwakamzima ukapata 40000 tu