Ufafanuzi kuhusu kilimo cha miti msimu wa mwaka 2014, Iringa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,515
Reaction score
28,506
Wakuu

Nimeipata hii mahala nimemua nishee na ninyi hapa, Nisiulizwe maswali maana si mwandishi wa habari hii, nimei-copy tu
Ukitaka maelezo kwa undani tumia contacts za mwandishi hapo chini
 
Ni miti ya aina gani ambayo inawezwa kupandwa kwenye maeneo ya joto kama mikoa ya mtwara, lindi au pwani?
 
Ni miti ya aina gani ambayo inawezwa kupandwa kwenye maeneo ya joto kama mikoa ya mtwara, lindi au pwani?

Joto kubwa kiasi gani? Na mvua zikoje? Kama mvua zipo za kutosha na udongo hautuamishi maji, jaribu mitiki,mlingoti na Cedrela,ukiweza jaribu acrocarpus.
 
Joto kubwa kiasi gani? Na mvua zikoje? Kama mvua zipo za kutosha na udongo hautuamishi maji, jaribu mitiki,mlingoti na Cedrela,ukiweza jaribu acrocarpus.

sorry mkuu, acrocarpus na cedrela ni miti gani hiyo, unaweza kutufafanulia kidogo!
 
wanagawana iringa yetu matajiri wa nchi hii , Uhuru wa 61 ni unyonyaji wa kutisha! Harakati za mkwawa bado ni kiza! one day tutakuwa huru
 
sorry mkuu, acrocarpus na cedrela ni miti gani hiyo, unaweza kutufafanulia kidogo!

Ingia google kwa majina niliyotaja, acrocarus ni exortic, uko kama wa kienyeji hvi, nimeuona njia ya Songea, kuanzia Lilondo,Rutukila,Madaba, imeoteshwa sana. Kama uko serious nikupe simu ya mtalaam.
 
Ingia google kwa majina niliyotaja, acrocarus ni exortic, uko kama wa kienyeji hvi, nimeuona njia ya Songea, kuanzia Lilondo,Rutukila,Madaba, imeoteshwa sana. Kama uko serious nikupe simu ya mtalaam.

yes mkuu, itasaidia sana
 
Huyo aliyeandika makala ana utapeli fulani, anayetaka details aniulize!
 
Huyo aliyeandika makala ana utapeli fulani, anayetaka details aniulize!

Mkuu umesema ukweli kabisa,

Nimeona maeneo makubwa matatu ambayo si sahihi kabisa. Kuna watu wanalizwa,nimefanya uchunguzi wa hii kitu nikagundua kuwa hawa jamaa ni ma middle men(niliwapigia simu, wakanitajia vijiji ambavyo na mimi nimewekeza, sasa nilipowauliza maswali ya ufahamu kidogo,jamaa akasema anipe namba nyingine ya jamaa aliyeko shamba), huko shambani hawafiki na hawakujui ila kuna jamaa yao anayeunganisha.

Jamani tuhurumiane, tunavyobamizana namna hii, hatuwezi kuwekeza, tutaishia kuwaachia wageni wawekeze hata ktk miradi ya kawaida sana kama hii ya kuotesha miti.
 
Upo sahihi Mkuu, na mimi niliwasiliana naye, kutokana na maongezi yake nikagundua ni dalali anayejifanya anamiliki mashamba vijijini kumbe anaishi mjini busy na mitandao kujaribu kutapeli. Nilimuomba namba za simu ya mwenye mashamba kijijini akanipa namba 3, kati ya hizo mbili za kwake na moja ni ya msanii aliyemwandaa. Kupiga zile namba akasahau kubadili sauti na whatsapp picha ni zake! Hatari kweli
 
Jamaa mwenyewe anaishi Kibo Ubungo pale, siwapendi watu wa jinsi hii, ndo wanafanya maisha yawe juu sana bila sababu, mwingine yupo Mafinga pale, naye nilimkimbiza mpaka amebadili jina lake humu jamvini.
 
hawa wote matapeli watupu,dawa ni kwenda mwenyewe iringa kwenye vijiji husika na kuonana na viongozi wa serikali za vijiji.ni cheap sana.
 
Jamaa mwenyewe anaishi Kibo Ubungo pale, siwapendi watu wa jinsi hii, ndo wanafanya maisha yawe juu sana bila sababu, mwingine yupo Mafinga pale, naye nilimkimbiza mpaka amebadili jina lake humu jamvini.

Ila bongo ukikurupuka unapigwa sana ....
 
@#£%#@%#
 
Attachments

  • 1406134813377.jpg
    235.4 KB · Views: 197
Hiyo bei ni kubwa nipo mbioni kununua shamba kule makubaliano ya bei tuliyofikia ni ndogo kuliko waliyotaja hapo,itakua hawa ni madalali.
 
Hiyo bei ni kubwa nipo mbioni kununua shamba kule makubaliano ya bei tuliyofikia ni ndogo kuliko waliyotaja hapo,itakua hawa ni madalali.
Malila amesema hilo jamaa ni jambarika so tek kea bibie
 
Last edited by a moderator:
Siwezi kutumia mtu nisiyemfahamu kwenye ishu kama hii,bora niende mwenyewe ukizingatia Iringa napafahamu,
Malila amesema hilo jamaa ni jambarika so tek kea bibie
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…