Ufafanuzi kuhusu neno wanaume wa Dar

Ufafanuzi kuhusu neno wanaume wa Dar

toriyama

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
1,139
Reaction score
2,223
UFAFANUZI KUHUSU NENO WANAUME WA DAR.
wanaume wa Dar ni tabia haijalishi unaishi wap, mfano we mwanaume :-
1. Unaishi Tabora ndani afu unamtext mwanaume mwenzako una mwita My, dear etc wewe pia ni mwanaume wa Dar
2. Unaishi Mwanza ila wimbo wako bora ni "ninogeshe" ya nandy, we nae ni mwanaume wa Dar‍♂‍♂
3. Uko arusha ila unakula soda na biscuits unashiba na kulala kabisa Usiku, we ni mwanaume wa Dar
4. Unaishi kigoma ila TV show unazoangalia ni shilawadu, chereko na ng'aringa'ri, wewe ni mwanaume wa Dar
5. Unakaa mbeya ila unaagiza chips yai afu unakazia iwe na tomato nyingii, we ni mwanaume wa Dar
6. Uko Iringa ila Unachatt kwa kuandika x badala ya s, lmao, lol wewe ni wa Jiji la Makonda
7. Unaishi Singida ila umemfollow Bob risky, James delicious na kaoge, wewe ni mwanaume wa Dar tena Uwanja Wa fisi
8. Unaishi Musoma ila una dressing table ndan, wewe ni mwanaume wa Dar
9. Unaishi Simiyu ila uktoka kuoga unavua kila kitu ndo upake mafuta, wewe ni mwanaume wa Dar
10. Unaishi mtwara ila unaweka status picha ishirin, wewe ni mwanaume wa Dar

Mnawezaa Ongezea Na Sifa Zingine.. Kuhusu Maana Ya Neno wanaume Wa Dar
.
Aman iwe nanyi wanaume wa Dar mlioko mikoani
 
Na wewe bila shaka unawahusudu hawa wanaume wa Dar na ndo maana unawajua sana.

Na sredi yako imekupa automatic membership katika kundi hilo.

Hongera sana mkuu.
 
11. Unaishi Bukoba lakini unakula ubuyu wa rangi tena unajilamba vidole ile rangi iliyong'ang'ania vidoleni,wewe ni mwanaume wa Dar.
 
wanavijuaa na vipodozi ambavyo ata sepenga ajawahi vijua.. Tangu awe miss
 
UFAFANUZI KUHUSU NENO WANAUME WA DAR.
wanaume wa Dar ni tabia haijalishi unaishi wap, mfano we mwanaume :-
1. Unaishi Tabora ndani afu unamtext mwanaume mwenzako una mwita My, dear etc wewe pia ni mwanaume wa Dar
2. Unaishi Mwanza ila wimbo wako bora ni "ninogeshe" ya nandy, we nae ni mwanaume wa Dar‍♂‍♂
3. Uko arusha ila unakula soda na biscuits unashiba na kulala kabisa Usiku, we ni mwanaume wa Dar
4. Unaishi kigoma ila TV show unazoangalia ni shilawadu, chereko na ng'aringa'ri, wewe ni mwanaume wa Dar
5. Unakaa mbeya ila unaagiza chips yai afu unakazia iwe na tomato nyingii, we ni mwanaume wa Dar
6. Uko Iringa ila Unachatt kwa kuandika x badala ya s, lmao, lol wewe ni wa Jiji la Makonda
7. Unaishi Singida ila umemfollow Bob risky, James delicious na kaoge, wewe ni mwanaume wa Dar tena Uwanja Wa fisi
8. Unaishi Musoma ila una dressing table ndan, wewe ni mwanaume wa Dar
9. Unaishi Simiyu ila uktoka kuoga unavua kila kitu ndo upake mafuta, wewe ni mwanaume wa Dar
10. Unaishi mtwara ila unaweka status picha ishirin, wewe ni mwanaume wa Dar

Mnawezaa Ongezea Na Sifa Zingine.. Kuhusu Maana Ya Neno wanaume Wa Dar
.
Aman iwe nanyi wanaume wa Dar mlioko mikoani
Wewe Pia ni MWANAUME WA DAR Maana Umeandika UHARO tu
 
11.unaishi mwangonela mbeya lakini unatumia lotion wewe pia ni mwanaume dar

13.kama unatumia imoji hii basi ww ni mwanaume wa osterbay.
 
14. Upo Kaitaba ila ukim-Text mwanaume mwenzako unaanza na "mamboo" wewe ni mwanaume wa Dar.
 
15. Unachat na mwanaume akicheka anatumia neno LOL (laughing out loudly) huyu pia ni mwanaume wa dar
 
16. Wakijipiga selfie wanabetua midomo.... Jamani hawa ni wanaume wa dar
 
Aisee wanaume Wa Dar wana shughuli sana, em Cha Mdeko mshawishi Mr Matunguli abakie Kibaha tu moja kwa moja.
 
Hapo naona sifa za mashoga tu,haziingiliani kabisha na wanaume wa Dar,harafu maneno yako hata sio sheria kiasi uhalalishe kuwa ulilolisema wewe ndio liwe na maana hiyo,who are you anyway!
Lipi limekugusa hapo?
 
wanaume wa Dar ni tabia haijalishi unaishi wap, mfano we mwanaume :-

1. Unaishi Tabora ndani alafu unamtext mwanaume mwenzako una mwita My, dear etc wewe pia ni mwanaume wa Dar[emoji85]

2. Unaishi Mwanza ila wimbo wako bora ni "ninogeshe" ya nandy, we nae ni mwanaume wa Dar[emoji125]‍♂[emoji125]‍♂

3. Uko arusha ila unakula soda na biscuits unashiba na kulala kabisa Usiku, we ni mwanaume wa Dar[emoji32]

4. Unaishi kigoma ila TV show unazoangalia ni shilawadu, chereko na ng'aringa'ri, wewe ni mwanaume wa Dar[emoji12]

5. Unakaa mbeya ila unaagiza chips yai alafu unakazia iwe na tomato nyingii, we ni mwanaume wa Dar[emoji4][emoji4]

6. Uko Iringa ila Unachati kwa kuandika x badala ya s, lmao, lol [emoji3][emoji3] wewe ni wa Jiji la Makonda[emoji3][emoji3]

7. Unaishi Singida ila umemfollow Bob risky, James delicious na kaoge, wewe ni mwanaume wa Dar tena Uwanja Wa fisi[emoji15]

8. Unaishi Musoma ila una dressing table ndani, wewe ni mwanaume wa Dar[emoji35][emoji35]

9. Unaishi Simiyu ila uktoka kuoga unavua kila kitu ndo upake mafuta, wewe ni mwanaume wa Dar[emoji41][emoji41]

10. Unaishi mtwara ila unaweka status picha ishirini, wewe ni mwanaume wa Dar[emoji850][emoji4]

Aman iwe nanyi wanaume wa Dar mlioko mikoani[emoji35]
 
Acheni kufananisha wanaume wa Dar es Salaam na mambo ya kijinga
 
Usikute aliyeiandika hii thread ni kijana wa Dar
 
Back
Top Bottom