Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,311
- 1,018
Mkuu kuna kinywaji kisichogusa kiwanda kwa sasa kweli?.... hata ukitengeneza juice ya tunda nyumbani utakuta mkulima aliweka mbolea na madawa ya kufanya tunda liive mapema....ni shida sana kwa kweli.Vinywaji vya viwandani vimewahi kuwa na faida mwilini?
Jamani naomba kujuzwa kuhusu faida za redbull kiafya na utofauti wake na energy drinks.
Kwisha habari.Vinywaji vya viwandani vimewahi kuwa na faida mwilini?
faida za redbull kiafya
Hakuna faidaenergy drinks.
Faida ni chacheJamani naomba kujuzwa kuhusu faida za redbull kiafya na utofauti wake na energy drinks.