Kumbe hujambo ndio maana yake hio "huna jambo" na vipi kuhusu shikamooBinafsi neno hujambo / Sijambo huwa nachukulia ni kifupi cha neno huna jambo? huna tatizo/huna ugonjwa?).
Kwa hiyo mimi huwa naishia tu kujibu sijambo, ili kuthibitisha kuwa sina jambo yani sina tatizo.
Hapo nimekupata kiaina hujambo sijambo, vipi kuhusu shikamooKwa ufupi: Unatakiwa kujibu "Sijambo" kwa sababu inamaanisha "sina tatizo", ukijibu "Nijambo" maana yake ni "Nina tatizo/shida"
"Si-" ni kiambishi cha "si" aka négation.Ngoja wataalamu wa sarufi waje wakupe maelezo vizuri.
Ni sawa na kumwambia mtu "nipo chini ya miguu yako"Kumbe hujambo ndio maana yake hio "huna jambo" na vipi kuhusu shikamoo
Niko chini ya miguu yako, marhabaa jau sana kumbeNi sawa na kumwambia mtu "nipo chini ya miguu yako"
Imekaa kitumwa sana hii salamu.
Binafsi naamini mtu anaweza kukuheshimu bila kusema shikamoo , kumtaka mtu aseme hivyo kwa lazima ,hiyo ni ego tripping.
Tafsiri sahihiBinafsi neno hujambo / Sijambo huwa nachukulia ni kifupi cha neno huna jambo? huna tatizo/huna ugonjwa?).
Kwa hiyo mimi huwa naishia tu kujibu sijambo, ili kuthibitisha kuwa sina jambo yani sina tatizo.
Wanasema kiswahili ni kiarabu 😜Kulikoni una uelewa wa haya mambo?
Kuna mzee nilimsikia kwa redio alisemaNiache blah blah nyingi twende moja kwa moja kwenye swali langu la msingi.
Katika kiswahili kuna maneno au viambishi ambavyo vinaashiria kukubali au kukanusha unachodhamiria kusema.
Sasa katika salamu ya Hujambo tumezoea kuitikia Sijambo, ambayo ni kukanusha.
Mwenye ufafanuzi wa hii salamu anisaidie.
Salamu nyingine ni Shikamoo, ina maana gani hasa, maana kuna mama mmoja nilimsalimia (anapendelea salamu ya kikabila) akakataa kuitikia akanijibu "shikamoo na wewe nishikemo wapi kuwa na adabu"
Hii shikamoo maana yake nini na marhaba maana yake nini, wengi tumeikuta na tunasalimia lakini hatuelewi maana yake.