Ufafanuzi Kuhusu Sheria Zinazotoa Muongozo Kuhusu Kuwasajili ma MC na Wamachinga

Ufafanuzi Kuhusu Sheria Zinazotoa Muongozo Kuhusu Kuwasajili ma MC na Wamachinga

Ntwa A. Katule

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
239
Reaction score
230
Swali kwa manguli wa sheria...Ngoja nianze kwa salamu kama ya mmoja wa great thinker wa jamiiforums. Umuofia kwenu..Baada ya salamu ningependa kwenda moja kwa moja kwenye swali langu.

Ulipoanza mwaka huu wa fedha nilisikia tamko kwamba kuanzia sasa wamachinga watatambuliwa rasmi kwa kupewa vitambulisho. Pia nikasikia kwamba washereshaji nao watatambuliwa rasmi au kusajiliwa. Sasa swali langu ni kutaka kujua kama kuna sheria zilipitishwa kwa ajili ya urasimishaji huu? Kama kuna sheria zinahusika, zilitungwa na mamlaka ipi? Lengo ni kutaka kuelewa kama kwenye ngazi za chini pia kuna mandate ya kutunga sheria ndogo ndogo au ni mpaka bunge la jamhuri ya muungano. Nitafurahi sana iwapo mtanipatia majibu ya maswali yote.

Wenu katika ujenzi wa taifa

Mr ICT Guru
Mr ICT Guru Tanzania LTD
Instagram: mrictguru
 
Back
Top Bottom