Ufafanuzi kuhusu talaka

Ufafanuzi kuhusu talaka

Kilimi

Member
Joined
Jan 11, 2023
Posts
80
Reaction score
110
Naomba kueleweshwa hapa mwanamke akiondoka mwenyew bila kufukuzwa alafu hujafunga nae ndoa ila umeishi nae kwa miaka 7 anaweza kurudi kudai mgawane mlichochuma nae ...na kama akija nifanyaje ushauri naomba.

NOTE sijamfukuza mawenge yake
 
Back
Top Bottom