Ufafanuzi kuhusu talaka

Kilimi

Member
Joined
Jan 11, 2023
Posts
80
Reaction score
110
Naomba kueleweshwa hapa mwanamke akiondoka mwenyew bila kufukuzwa alafu hujafunga nae ndoa ila umeishi nae kwa miaka 7 anaweza kurudi kudai mgawane mlichochuma nae ...na kama akija nifanyaje ushauri naomba.

NOTE sijamfukuza mawenge yake
 
Mkuu ngoja nikutag Kuna uzi wa haya Mambo ya ndoa umesha eleza kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…