CCM ni chama kinachotia aibu na kinaendesha nchi kishamba sana ! Eti serikali yao inazuia mikopo kwa watoto wa masikini halafu wanakuja kwa mlango wa uani kuleta mgawanyiko !
Kiukweli sijaona chama cha kizamani na kichafu kama hiki kwa sasa duniani .