Ufafanuzi kuhusu vikundi vya kijamii

Tyler

New Member
Joined
Dec 24, 2021
Posts
4
Reaction score
0
Nauliza inawezekana Kuunda kikundi cha watu kiwe kama club Kwa ajili ya kutoa elimu ya Maisha Kwa wanafunzi mashuleni na kisiwe kama foundation au NGO
 
Kama kitafanya kazi ndani ya wilaya husika andaeni katiba kisha mtaenda serikali za mitaa kisha kwa afusa maendeleo ya jamii wa halmashauri husika kwaajili ya kusajiriwa...kila la kheri kwenu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…