Ufafanuzi: Kwa nini wanafunzi wenye pointi sawa wamewekwa madaraja tofauti kwenye matokeo kidato cha

Ufafanuzi: Kwa nini wanafunzi wenye pointi sawa wamewekwa madaraja tofauti kwenye matokeo kidato cha

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2007
Posts
18,772
Reaction score
8,939
[h=3]UFAFANUZI: KWA NINI WANAFUNZI WENYE POINTI SAWA WAMEWEKWA MADARAJA TOFAUTI KWENYE MATOKEO KIDATO CHA NNE 2013![/h]

Hatimaye Baraza la Mitihani (NECTA) limefafanua kizungumkuti kilichowakumba wengi kuhusiana na utata katika upangaji wa madaraja ya ufaulu katika mtihani wa kidato cha IV 2013.


NECTA imesema, kwa yeyote mwenye pointi kuanzia 32 kama hana ama D mbili au C moja, anahesabika kuwa na Daraja 0 kama inavyoonekana katika picha. Hii ndiyo sababu utaone watu wana pointi mfano 43 lakini mmoja yupo daraja Sifuri (0) na mwingine yuko daraja la nne (4).

Kwa maelezo zaidi, USIKOSE kutazama kipindi cha HOTMIX kinachorushwa na EATVkuanzia saa kumi na moja kamili jioni LEO!
 
wajinga ao necta yaan wamexema gred E na gred F zote fails,jaman m2 alyepat 28 na m2 alyepata 13 wamewekwa kund moja!!! binafsi cjapenda!
 
Hapa NECTA wametupiga changa la jicho maana Katibu Mkuu alitangaza viwango tofauti na wao ambapo alionesha kuwa madaraja yatategemea pointi za mwanafunzi tu. Sasa nani muongo kati ya Dkt Msonde na Prof Mchome? Kwa nini watu wa Elimu na Baraza wanatuyumbisha namna hiyo?
 
Back
Top Bottom