UFAFANUZI: Mtume Mohamad amewahi kutenda muujiza gani?

Sasa Bi. Faiza kwa upande wenu waislamu huwa mnajuaje kama huyu ni mpigaji?.
Ukiona msikiti unachangisha sadaka ujuwe hapo ni wapigaji tu.

Ukiona kuna "kituo cha "yatima" wanajidai cha Kiislam, ujuwe hapo ni wapigaji tu.
 
Una ushahidi gani hao uliowataja walifanya hayo uliyoyasema? Thibitisha mungu yupo
 
Most Muslim hawapend violence but uislam una insist violence and terror for non believers
 
Alipoulizwa yeye mwenyewe, aliionesha Qur'an.

Qur'an ni muujiza unaoishi. Siyo wa kuhadithiwa tu kama mingine yote.
Aliionesha kutoka wapi wakati mpaka anakufa aliacha haikuwa imeandikwa popote, zaidi ya kuwekwa kwenye ngozi za wanyama

Na ndipo baada ya kifo chake ndio wakachukua na kuziunganisha kuweka kitabu kimoja bila kusahau zile zilizopotea maana zingine zililiwa na mbuzi😂
 
Hakuna Binadamu anayeweza kuupasua Mwezi kwa Mtu ambae hajasoma anaona Mwezi ni KaDisc kadogo lakini Mwezi ni mkubwa sana.

Hii ni Fiksi tena kali sana.
Mwezi hakupasua binadamu kapasua Allah
 
Wakifanya au wasifanye miujiza, wewe inakusaidia nini?
 
... miujiza ya mitume wote uliowataja, kufanya miujiza, haujaishuhudia!
... soma QURAN ushuhudie muujiza wa Nabii MUHAMMAD (S.A.W)!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…