Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndefu mpango mzima bz inakutekenya hadi kwenye utumbo......habari MMU
tukiwa kwenye site hii pendwa kwa ajili ya kubadilishana mawazo na utani wa hapa na pale juu ya mapenzi n.k
me binafsi naona kuna mambo mawili
kwanza; kuna zile mada reeeefu mpaka hupelekea msomaji kufatilia comment za watu ili angalau kupata hata summary hivyo kusababisha mchangiaji kushindwa kuelewa dhamira ya mada hivyo atachangia kutokana na reply za wengine.
pili; kuna zile mada fupi tena ni za kueleweka hapo humfanya msomaji kuelewa haraka na kutoa mawazo yake sahihi na pia haimpotezei muda mwingi kufatilia mada moja tuu.
me binafsi napendelea mada fupi kwani hazichoshi.
vp we mdau wangu wa nguvu..?
ndefu alafu nene ni tamu sana kwani unampelekea kila kona ya madaMkuu mada ndefu ndio zenyewe maana zinakufanya uelewe bila chembe ya tashwishwi..
Isiwe fupi wala isiwe ndefu ila iwe imejaazia yaani imejitosheleza. Nitaisoma mpaka hiyo mada
Mmmmhh!!Isiwe fupi wala isiwe ndefu ila iwe imejaazia yaani imejitosheleza. Nitaisoma mpaka hiyo mada
Papaikitu cha mhogo siyo ?
Papaikitu cha mhogo siyo ?