Ufafanuzi: Simba wamemfunga mwarabu toleo la mwisho

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Waarabu mliowafunga ni toleo la mwisho kabisa, punguzeni kelele na nyie
Makolo Baada ya kuifunga goli MOJA timu mbovu wameanza kupiga kelele mara ooh tumewafunga waarabu kwao .....

Kiuhalisia ....Simba wamewafunga waarabu Koko ( toleo la mwisho) sio pure waarabu
1736010792408.jpg
 
Waarabu mliowafunga ni toleo la mwisho kabisa, punguzeni kelele na nyie
Makolo Baada ya kuifunga goli MOJA timu mbovu wameanza kupiga kelele mara ooh tumewafunga waarabu kwao .....

Kiuhalisia ....Simba wamewafunga waarabu Koko ( toleo la mwisho) sio pure waarabu View attachment 3194054
Wale waarabu wamechoka sanaa khaaaa.....wanatoka vijijini
 
Waarabu mliowafunga ni toleo la mwisho kabisa, punguzeni kelele na nyie
Makolo Baada ya kuifunga goli MOJA timu mbovu wameanza kupiga kelele mara ooh tumewafunga waarabu kwao .....

Kiuhalisia ....Simba wamewafunga waarabu Koko ( toleo la mwisho) sio pure waarabu View attachment 3194054
Ambao wamewahi kuwa mabingwa michuano hiyo mara 3 na wakishiriki fainali 4

sasa sijui kama kuna team mbovu ina record hiyo
 
Back
Top Bottom