Mimi ndio naanza kabisa kujifunza coding au mambo ya programming.
Wakati nataka kujipinda nianzie html jamaa yangu ameniambia nisihangaike nayo kuna language nyingine imetoka inaitwa Flutter. Yeye Flutter haijui pia ila ana uzoefu na nyinginezo.
Kwa mimi inanichanganya sababu niko gizani. Kama Flutter iko fresh kutengeneza website na pia e-comerce ningependa kuibwaga HTML nizame huko.
Je hii Flutter imekuja kureplace HTML?
Ila nimeileta hapa ili ma tech guru mninyoshee njia.