NZURI PESA JF-Expert Member Joined Mar 25, 2011 Posts 5,958 Reaction score 2,954 May 9, 2017 #1 Habari zenu wandugu,naomba ufafanuzi wa kitabibu juu ya suala hili:- Inasemekana, ukijisaidia choo kubwa na kikaelea kwenye sink la choo una matatizo ya kiafya, je hili lina ukweli? Ahsante natanguliza shukrani
Habari zenu wandugu,naomba ufafanuzi wa kitabibu juu ya suala hili:- Inasemekana, ukijisaidia choo kubwa na kikaelea kwenye sink la choo una matatizo ya kiafya, je hili lina ukweli? Ahsante natanguliza shukrani
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 May 12, 2017 #2 Aaah wapi sidhani
ukhuty JF-Expert Member Joined Oct 9, 2016 Posts 16,879 Reaction score 41,971 May 12, 2017 #3 Ngoja madakta waje
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,970 Reaction score 35,168 May 12, 2017 #4 Sijaelewa mada!!! au weka na kapicha kusapoti huo mlalo wa huo mzigo kwenye "sink"