Sexer JF-Expert Member Joined Oct 22, 2014 Posts 8,440 Reaction score 8,149 Dec 16, 2016 #1 hii nimepiga juu ya engine karibu na pa kuwekea oil, nielewesheni maana yake wakuu
Hunyu JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 4,774 Reaction score 4,327 Dec 16, 2016 #2 Hicho kichina/kijapani babu maana yake expire date ya gari
papag JF-Expert Member Joined Jul 31, 2009 Posts 1,156 Reaction score 1,667 Dec 16, 2016 #3 ngoja waje wale wanao kwenda huko kupeleka sembe watakwambia
Kazwala mkuu JF-Expert Member Joined Jul 2, 2016 Posts 1,034 Reaction score 2,250 Dec 16, 2016 #4 Kwani hauoni hapo? Wanamaanisha Km 5000.
LEGE JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 5,122 Reaction score 9,209 Dec 17, 2016 #5 Sexer said: hii nimepiga juu ya engine karibu na pa kuwekea oil, nielewesheni maana yake wakuu Click to expand... mkuu hapo hizo ni type ya oil ya kutumia na km za kutembea mfano hiyo 10W 3O ni kwa 5000km na 5W 30 10000KM mkuu unapata tabu ya nini/. simu zina google translate fanya kuipiga hiyo picha then itranslet mkuu
Sexer said: hii nimepiga juu ya engine karibu na pa kuwekea oil, nielewesheni maana yake wakuu Click to expand... mkuu hapo hizo ni type ya oil ya kutumia na km za kutembea mfano hiyo 10W 3O ni kwa 5000km na 5W 30 10000KM mkuu unapata tabu ya nini/. simu zina google translate fanya kuipiga hiyo picha then itranslet mkuu
LEGE JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 5,122 Reaction score 9,209 Dec 17, 2016 #6 Hunyu said: Hicho kichina/kijapani babu maana yake expire date ya gari Click to expand... acha uzushi mkuu
Hunyu said: Hicho kichina/kijapani babu maana yake expire date ya gari Click to expand... acha uzushi mkuu