Hapa kikubwa huwa ni vigezo vya mtu alivyo jiwekea kwa mtu anaye mtaka katika kuanza maisha ya pamoja, mfano Kuna wanaume wengi sana wasomi wa vyeti ambao wanatamani kupata mwanamke anaejua kusoma na kuandika tu lakini ajabu anakuja kuwa zaidi hata ya vile ambavyo alimtarajia
1. Anakuwa mtu mwenye kukupa mawazo ya usubutu kufanya mambo ya maendeleo
2.Risk taker pasi kujua hata ana fanya hivyo as if ni msomi
3.Ustarabu(civilization) Kama tunavyo jua hapo awali kulikuwa na jando na unyago kwa jinsia zote mbili na dhumuni kuwa Sana ya hivi vitu kwa sisi tuliobahatika kupitia tulikuwa tukiaswa Sana juu ya Mambo mengi sana ya kimaisha hasa unapo kwenda mbali na wazazi wako, kuishi vizuri Sana na watu.....n.k
Hivyo basi Hilo neno "educated" kwangu mm binafsi naliona kama tu ni maarifa madogo tu ambayo mtu unatakana uwe nayo ili kumudu kuchanganua mambo mbalimbali
UKIWEZA KUWA HIVYO UTAMVUTIA KILA MWANAUME AU MWANAMKE NA HILO NENO EDUCATED LITAHUSIKA PIA