Ufafanuzi: Toyota Harrrier yenye yenye uwezo wa injini 2490 ie cc 2490

Ufafanuzi: Toyota Harrrier yenye yenye uwezo wa injini 2490 ie cc 2490

uzeebusara

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
657
Reaction score
514
Habari zenu,

Natumai tupo poa. Naomba ufafanuzi wa Toyota Harrier yenye injini model no. MCU30 kuwa na injini capacity 2490 nimeiona mahala. Kwa sababu nimezoea kuziona Toyota Harrier za 2AZ ambayo inakuwa na cc 2360 na 1MZ inakuwa na cc 2990 (nirekebishwe kama nimekosea).

Nimekutana na hii niliyoiandika hp juu. Hii yawezekana au ilikosewa kadi wakati wa kuiandika? Naambatanisha na kipande cha picha ya kadi ua usajili. Nilifuatilia na kuiona kadi yote original (Paper). Wajuzi wa magari hii ipo kweli?

 

Attachments

  • Screenshot_20220407-113808.jpg
    Screenshot_20220407-113808.jpg
    37.3 KB · Views: 51
Kwanza kabisa

Mcu 30 , huwa ni 300G Version

Ambayo ni sawa na 2,990 CC ( 3,000 )
 
Back
Top Bottom