Poleni na majukumu ya hapa na pale wanajf wenzangu.
Naomba ufafanuzi katika hili jambo kwa wale wanaofahamu tu, kama hujui ni bora ukae kimya utaonekana unajua..
Ni hivi jamani, eti inakuwaje mtu(me au ke) anakosa hamu ya kufanya mapenzi? Je inawezekana haridhishwi? Au kuna sababu za kibailojia/kisaikolojia/kimazingira? Au ndio maji yameanza kubadili mkondo?
Msaada wa ufafanuzi jamani katika hili.