Ufafanuzi wa kikatiba

Ufafanuzi wa kikatiba

DIUNATION

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
2,591
Reaction score
1,719
Wasalam,

Ninasikiliza redio hapa wanafafanua kua kikomo cha Waziri serikalini ni baada ya raisi kuvunja Bunge.

Je kuna ukweli hapa? Au kuna ufafanuzi zaidi?

Pili ukomo wa raisi aliye madarakani ni lini? na nani anakaimu?
 
Back
Top Bottom