DIUNATION JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 2,591 Reaction score 1,719 Jul 8, 2015 #1 Wasalam, Ninasikiliza redio hapa wanafafanua kua kikomo cha Waziri serikalini ni baada ya raisi kuvunja Bunge. Je kuna ukweli hapa? Au kuna ufafanuzi zaidi? Pili ukomo wa raisi aliye madarakani ni lini? na nani anakaimu?
Wasalam, Ninasikiliza redio hapa wanafafanua kua kikomo cha Waziri serikalini ni baada ya raisi kuvunja Bunge. Je kuna ukweli hapa? Au kuna ufafanuzi zaidi? Pili ukomo wa raisi aliye madarakani ni lini? na nani anakaimu?