Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Tukianza na Kiboko ya Wachawi ufafanuzi wake ni kuwa Serikali haijakosea kufunga huduma bali mafundisho yake hayana staha
Kosa lake kubwa ni kutumia mgongo wa Shetani kwa lengo la kujipatia fedha badala ya kufundisha habari za Mungu
Kutumia mgongo wa Shetani kwa maana ya kuzungumzia machafu ya Shetani ikiwemo maswala yanayohusiana na ushirikina ili kupata muitikio mkubwa
Anahitaji kupata elimu ya Dini ili aweze kueneza habari za Mungu kwa wanadamu badala ya kutengeneza mtafaruko
Mara nyingi hili kosa linafanywa na Wachungaji wengi wanasahau kueneza mema ya Mungu badala yake wanazungumzia machafu ya Shetani
Hii ni sawa na mwanachama wa CCM kuacha kuzungumzia chama chake na kuzungumzia machafu ya chama pinzani jambo ambalo halina faida katika chama chake na tafsiri yake ni sawa na mtu aliyeishiwa sera au ushawishi katika chama chake kwahiyo anaamua kuzungumzia madhaifu ya chama pinzani
Siku hizi mahubiri yote yanamnyooshea Shetani kidole mema ya Mungu hayasemwi tena bado wapo kwenye ile kesi ya zamani ya Mungu na Shetani, ilikuwa ni ya zamani sana sidhani kama Mungu anapenda kugombana kila wakati