Habari wa kuu! Samahani nina jambo huwa linanipa Shaka kwenye mwili wangu je ni kinga kuwa nyingi au kuna kitu kinaendele. Mwilini mwangu sina chanjo yoyote na sijawahi kuchomwa sindano ya dawa yoyote lbda ya ganzi wakati natoa jino. Pia naweza kukaa miaka 7 sijaumwa zaidi ya mafua tu na nikiumwa mafua wiki haiishi nishapona.pia nikijikata au nikiwa na kidonda cha kawaida siku tatu haziishi nishapona yani kimejifunga.ugonjwa wowote wa mlipuko sijawahi kuumwa.kila siku ya Mungu mwili wangu unatanuka nakuwa jitu lenye mbavu tena nikifanya mazoezi ndo hatari zaidi mwili unatanuka .je hili ni tatizo au nini kinaendelea maana napata hofu