ThnkingAloud
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 546
- 564
Sheria ya kazi inampa haki mfanyakazi kwenda likizo ya siku 28 kila baada ya miezi 12 ya kazi. Na endapo mfanyakazi ataachishwa kazi akiwa na likizo ambayo hakwenda kwa sababa maombi ya likizo yake hayakuwa approved na mwajiri anatakiwa alipwe mshahara wake wa mwezi kwa kila likizo ambayo hakwenda.
Lakini kifungu cha 31(9) kikisomwa kwa pamoja na kifungu cha 31(3) vyote vya Sheria ya Kazi na Mahusiano Kazini Cap. 366 R.E. 2019 vinanichanganya kidogo. Naomba ufafanuzi wa kisheria tafadhali wanajamvi.