The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Kufuatia kujitoa kwa Jaji Elinaza Luvanda anayesikiliza shauri linalowakabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa ndugu Freeman A. Mbowe na wenzake watatu katika kesi ya uhujumu uchumi na ugaidi iliyoko mahakamu kuu DSM, baada ya mshitakiwa namba 3 Freeman Mbowe kuonesha "kutokuwa na imani" naye, wengi tumekuwa tukitoa maoni yetu hewani bila kuwa na reference ya kisheria.
Katika video hii, mawakili wa mahakama kuu wasomi ndugu Peter Madeleka na Fatuma Karume wanatupa ufahamu wa kisheria jinsi mambo yalivyo na baada ya kuwasikiliza, kila mtu awe huru kutoa maoni yake sasa iwapo ilikuwa ni halali kwa Jaji huyu kujitoa au vinginevyo.