Pacbig
JF-Expert Member
- Oct 15, 2017
- 1,095
- 2,087
Kuna mijadala imekuwa ikiletwa humu JF kuhusiana na wanaume wa Dar.Lakini haijaeleweka Mwanaume wa Dar ni yupi hasa.wengine wanadai ni mwanaume yeyote anayeishi Dar.Wengine wanadai ni yule aliyezaliwa na kukulia Dar,maana kumbuka wengine wametoka mikoani na wanaishi Dar.Sasa sijajua waliozaliwa Dar na kukulia Dar ila wanaishi mikoani ni wa wapi.ufuatao ni ufafanuzi.
Kuwa mwanaume wa Dar haijalishi umezaliwa na kukulia wapi au unaishi wapi.Uwe wa Dar,Mwanza,Arusha,Mbeya, Dodoma etc,unaweza ukawa mwanaume wa Dar.Tunawatambua kwa tabia.
Kama unashinda kwa kula vihepe,biscuit,Chipsi dume,vijiko vitatu vya wali,sausage,mkate na vingine vya aina hiyo hukwepi popote ulipo wewe ni mwanaume wa Dar.
Kama huwezi kula chakula kama kilivyoandaliwa mpaka uongeze udambu udambu mfano blueband kwenye mkate,pilipili kwenye mahindi,Tomato na chilli source kwenye mboga za majani etc hukwepi pia wewe ni wa Dar popote ulipo.
Kama unajipaka mikorogo na unashindania vioo na dada au demu wako popote ulipo Tanzania hukwepi wewe ni wa Dar.
Huwezi kugegeda mpaka u boost na mchuzi wa pweza au boost nyingine yeyote.hukwepi pia
Unafuatilia umbeya kuanzia mtaani mpaka wa kwenye media unaijua mpaka michepuko ya DAB,Diamond na Alikiba.hukwepi
Ukiandika ujumbe unatumia maneno kama mfyuuuu,mxieuu,Nyooo,jomooon,Waooo,utajijuu,unalo babaaa .hukwepi pia.
Kama sio jasiri na upo tayari kupigwa mbele ya mkeo na jamaa.Au ukakimbia vitoto vya panya road na ukaja kulalamika mitandaoni.hukwepi pia
Unaachwa na mkeo unakuja kutulilia JF hukwepi pia.
Tunawatambua wanaume wa Dar kwa tabia zao popote walipo Tanzania.Asante