Ufafanuzi wa Maana ya Mwanaume wa Dar es salaam.

Wanaume wa dar ni wale wanachuchumaa wakati wa kukojoa.

Ni wale wanaofunga taulo kifuani wakienda kuoga

Ni wale wanaoitika "Abee" mara wanapoitwa.
 
Kuna wale wanaume walikuwa wanashangilia wakati wadada wanavalishana pete na kulana denda hadharani, hivi ni mkoa gani huo?
 
Ngoja wakuje mkuu utawaona tu wakianza kutoa povu
 
Wanaume Wa dar Nge mmoja anafunga mtaa mzima hakuna Wa kumsogelea
 
Naona mnatafuta mabasha wa dar.
KWENYE CHAKULA KUNA MPAKUAJI.
karibuni dar tuwapakue.
 
Ni wanaume fulani hivi wasiokuwa na msimamo yani wako wako tu hawaeleweki, kwa kifupi ni wale wanaume wenye akili za kushikiwa
 
Alafu niwapenda udaku shila wadu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…