wadau kuna habari moja iliandikwa na gazeti la Mtanzania kuhusu kukwama kwa Tume ya kuchunguza uvunjaji wa sheria wakati wa kutekeleza oparesheni tokomeza. jamaa wametoa ufafanuzi. nimeudaka kwenye michuzi share na wadau wengine
Attachments
UFAFANUZI WA MADAI TUME YA OPERESHENI TOKOMEZA KUKWAMA.pdf