Jana niliiangalia mdaharo wa wagombea wenza kuelekea uchaguzi mkuu nchini Kenya, kati ya Martha Karua wa vyama vya muungano wa Azimio unaoongozwa Raila Odinga na Gachagua wa muungano wa vyama vya Kenya kwanza unao gozwa na William Ruto.
Katika mdahalo huo yapo maneno yaliyotawala ambayo ni; State capture na Cartels.
Binafsi sikuweza kuyaelewa vizuri kutokanana kizuizi cha lugha iliyotumika.
Naomba wajuvi wa mambo mnifafanulie kuhusu hayo maneno mawili.