Ndugu Zitto Junior nakushukuru sana kwa ufafanuzi malidhawa.State capture ni pale watu wachache (Mabilionea) wanakua hawagusiki sababu Wana viongozi wa juu wa serikalini wapo mfukoni mwao. Kwa context ya Kenya kuna wale jamaa wanaitwa Mount Kenya foundation (Ruling Class ya Kikuyu) ambayo imejaa top billionaires wa Kenya kutoka kabila linatowala uchumi tokea uhuru.
Hao members wake watavusha bidhaa kwa magendo, watakwepa Kodi, watafanya ufisadi wa Kila aina ila hawatogusika sababu unakuta Rais wa nchi yupo mfukoni mwao kafuatilie KEMSA au Covid Billionaires scandals utapata picha zaidi.
2. cartels ni magenge whether ya kiuchumi au kiuhalifu yanayofanya njama kuhujumu uchumi au serikali. Kwa context ya Kenya mfano kwenye issue ya mafuta unakuta wamiliki wakija pamoja kupandisha Bei wote kwa mkupuo Ili wapate faida kubwa then hiyo Inakua cartel. Ila kwa picha kubwa zaidi kuna makundi kama hayo Kenya yanayojimilikisha berth za bandarini, Yanapandisha Bei ya vitu vya msingi Ili tu wapige faida kubwa. Serikali inawafahamu ila hauwezi kuwafanya chochote sababu ndio wamewekwa mfukoni.
Aisee hao state capture ni hatari kwa afya ya taifa.State capture ni pale watu wachache (Mabilionea) wanakua hawagusiki sababu Wana viongozi wa juu wa serikalini wapo mfukoni mwao. Kwa context ya Kenya kuna wale jamaa wanaitwa Mount Kenya foundation (Ruling Class ya Kikuyu) ambayo imejaa top billionaires wa Kenya kutoka kabila linatowala uchumi tokea uhuru.
Hao members wake watavusha bidhaa kwa magendo, watakwepa Kodi, watafanya ufisadi wa Kila aina ila hawatogusika sababu unakuta Rais wa nchi yupo mfukoni mwao kafuatilie KEMSA au Covid Billionaires scandals utapata picha zaidi.
2. cartels ni magenge whether ya kiuchumi au kiuhalifu yanayofanya njama kuhujumu uchumi au serikali. Kwa context ya Kenya mfano kwenye issue ya mafuta unakuta wamiliki wakija pamoja kupandisha Bei wote kwa mkupuo Ili wapate faida kubwa then hiyo Inakua cartel. Ila kwa picha kubwa zaidi kuna makundi kama hayo Kenya yanayojimilikisha berth za bandarini, Yanapandisha Bei ya vitu vya msingi Ili tu wapige faida kubwa. Serikali inawafahamu ila hauwezi kuwafanya chochote sababu ndio wamewekwa mfukoni.
Ni nini tofauti kati ya state caputure na power elite model?State capture ni pale watu wachache (Mabilionea) wanakua hawagusiki sababu Wana viongozi wa juu wa serikalini wapo mfukoni mwao. Kwa context ya Kenya kuna wale jamaa wanaitwa Mount Kenya foundation (Ruling Class ya Kikuyu) ambayo imejaa top billionaires wa Kenya kutoka kabila linatowala uchumi tokea uhuru.