Ufafanuzi wa Mapigo Kumi ya Wamisri!

Ustawi wa Kemet au Misri uliwastaajabisha wengi hivyo ikawa na maadui wengi sana. Na kwa vile ilikuwa ni Nchi ya watu Weusi, maadui walikuwa na donge.. roho ziliwauma. Mengi yaliandikwa kuhusu miungu na Sanamu zao. Lakini ikumbukwe miungu wa adui (Mungu by extension) hakuwa na uwezo kuliko hii miungu ya Kemet. Kwa uadui uliokuwepo, Misri ilianguka ndani ya miaka 1500 baada ya misuko suko toka kwa adui ambao walikuwa wazungu kutoka bara la ulaya.. Kuandika povu dhidi ya Miungu wa Misri kwenye biblia ni kuonesha chuki ya wazi dhidi ya mtu mweusi na tamaduni na urithi wake. Mnaofikiri bible ni kitabu cha haki.. hususani kwa ajili ya mtu mweusi mmepotea na mnapoteza muda. Bible ni kitabu cha kueneza propaganda.. ili watu wasithamini urithi wao bali wathamini tamaduni za kigeni na hatimaye wasahau za kwao. Afrika imerudi nyuma sana kiustaarabu baada ya kuletwa hii dini ya kigeni..
 
Salute
 


Ehe je lile Giza tororo kwa siku tatu lilitoka wapi?

Na je wale wazao wa kwanza waliouawa ilikuwaje?
Ufafanuzi wa kina mkuu
 
Ehe je lile Giza tororo kwa siku tatu lilitoka wapi?

Na je wale wazao wa kwanza waliouawa ilikuwaje?
Ufafanuzi wa kina mkuu
Duuuu muda mrefu hayupo HAPA....
 

Okk
 

Lk
 
Nime LIKE thread yako, ila kwanini siyo historia kama hii kwa TZ?! πŸ™πŸ˜•πŸ˜ŽπŸ˜΅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…