Maganga Mkweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 2,089
- 829
[h=3][/h][h=3]BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA[/h]
UFAFANUZI WA MASWALI MBALIMBALI YA WADAU WA ELIMU KUHUSU MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2013
[h=2][/h][h=2][/h][h=2][/h][h=2][/h]
[h=2]Imetolewa Na:[/h][h=2]KAIMU KATIBU MTENDAJI[/h]25 Februari, 2014
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="width: 102"][/TD]
[TD="width: 96"][/TD]
[TD="width: 132"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 96"] 1[/TD]
[TD="width: 102"][/TD]
[TD="width: 96"][/TD]
[TD="width: 132"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 96"] 2[/TD]
[TD="width: 102"][/TD]
[TD="width: 96"][/TD]
[TD="width: 132"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 96"] 3[/TD]
[TD="width: 102"][/TD]
[TD="width: 96"][/TD]
[TD="width: 132"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 96"] 4[/TD]
[TD="width: 102"][/TD]
[TD="width: 96"][/TD]
[TD="width: 132"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 96"] 5[/TD]
[TD="width: 102"][/TD]
[TD="width: 96"][/TD]
[TD="width: 132"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 96"] 6[/TD]
[TD="width: 102"][/TD]
[TD="width: 96"][/TD]
[TD="width: 132"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 96"] 7[/TD]
[TD="width: 102"][/TD]
[TD="width: 96"][/TD]
[TD="width: 132"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Aidha, Idadi ya makundi ya ufaulu hutofautiana kati ya nchi na nchi kulingana na mahitaji ya nchi husika. Kwa mfano; Kenya wana makundi Kumi na mbili (12), Malawi Tisa (9), Uganda Tisa (9), Nchi za Afrika magharibi (Nigeria, Ghana, Siera Leone na Liberia) makundi Tisa. 2. Kwa kuzingatia viwango vya ufaulu vilivyoainishwa katika makundi saba yaliyopo kwenye Jedwali na 1, kiwango cha chini cha ufaulu ni gredi D na kiwango cha juu cha ufaulu ni Gredi A. Mtahiniwa atakuwa amefaulu somo husika iwapo atapata gredi D na kuendelea. Aidha, mtahiniwa aliyepata gredi E na F atakuwa hajafaulu somo husika. 3. Madaraja ya ufaulu yamepangwa kwa mujibu wa kifungu cha 20 (1)-(6) cha Kanuni za Mitihani kinachoelekeza kuwa Ufaulu katika daraja la Kwanza hadi la Tatu upangwe kwa kuzingatia jumla ya alama (Points) na Ufaulu katikaDaraja la Nne unapangwa kwa kuzingatia ufaulu wa chini aliopata mtahiniwa ambao ni gredi D katika masomo yasiyopungua mawili au ufaulu kwa kiwango kisichokuwa chini ya Gredi C katika somo moja. Hivyo, madaraja yaliyotumika ni kama yanavyoonekana kwenye Jedwali la 2. Jedwali 2: Madaraja yaliyotumika katika CSEE 2013 [TABLE="class: MsoNormalTable, width: 441"][TR]
[TD]
Kundi
[TD="width: 102"]
Gredi
[TD="width: 96"]
Alama
[TD="width: 132"]
Idadi ya Pointi
[/TR]
[TR]
[TD="width: 96"] 1[/TD]
[TD="width: 102"]
A
[TD="width: 96"]
75 - 100
[TD="width: 132"]
1
[/TR]
[TR]
[TD="width: 96"] 2[/TD]
[TD="width: 102"]
B+
[TD="width: 96"]
60 - 74
[TD="width: 132"]
2
[/TR]
[TR]
[TD="width: 96"] 3[/TD]
[TD="width: 102"]
B
[TD="width: 96"]
50 - 59
[TD="width: 132"]
3
[/TR]
[TR]
[TD="width: 96"] 4[/TD]
[TD="width: 102"]
C
[TD="width: 96"]
40 - 49
[TD="width: 132"]
4
[/TR]
[TR]
[TD="width: 96"] 5[/TD]
[TD="width: 102"]
D
[TD="width: 96"]
30 - 39
[TD="width: 132"]
5
[/TR]
[TR]
[TD="width: 96"] 6[/TD]
[TD="width: 102"]
E
[TD="width: 96"]
20 - 29
[TD="width: 132"]
6
[/TR]
[TR]
[TD="width: 96"] 7[/TD]
[TD="width: 102"]
F
[TD="width: 96"]
0 - 19
[TD="width: 132"]
7
[/TR]
[/TABLE]
[TR]
[TD="width: 114"]
Daraja
[TD="width: 474"]
Pointi
[/TR]
[TR]
[TD="width: 114"]
I
[TD="width: 474"] 7 – 17[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 114"]
II
[TD="width: 474"] 18 – 24[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 114"]
III
[TD="width: 474"] 25 – 31[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 114"]
IV
[TD="width: 474"] 1. Ufaulu katika somo moja kwa kiwango kisichokuwa chini ya Gredi C au 2. Ufaulu katika masomo yasiyopungua mawili katika Gredi D[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 114"]
0
[TD="width: 474"] Alama chini ya D mbili [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
4. Kwa mujibu wa Kanuni za Mitihani, ufaulu wa somo katika Gredi A hadi C utakuwa ni ufaulu wa "Credit" na Gredi D itahesabika kuwa ni "pass". Aidha Gredi E na F zitakuwa alama za kufeli. 5. Baraza la mitihani la Tanzania linapenda kutoa taarifa kwamba ufafanuzi wa sifa za kujiunga na mafunzo katika ngazi mbalimbali kwa kutumia mfumo huu mpya wa madaraja utatolewa na mamlaka husika ambapo Kamishna wa Elimu atalitolea ufafanuzi zaidi.
Imetolewa Na:
KAIMU KATIBU MTENDAJI