Nyaru
JF-Expert Member
- Oct 14, 2016
- 289
- 232
Wadau,
Hivi sheria zinasemaje katika hili. Wafanyakazi wa umma wameajiriwa na serikali, na serikali hiyo hiyo ndo inasema baadhi ni hewa, sasa kwanini gharama za kwenda kuhakikiwa wanazotumia wafanyakazi zisifidiwe na serikali? Msaada juu ya hili kwa wanaoijua vema sheria kwani nina mpango wa kufungua kesi mahakamani juu ya kulipwa gharama nilizotumia.
Asante, naomba kuwasilisha.