Ufafanuzi zaidi kuhusu.........

Dachr

Senior Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
110
Reaction score
8
Kwa busara zenu wa jf hasa katika jukwa hili la elimu naombeni ushauri wenu wa hari na mali.Naomba kufahamishwa zaidi kwa mtu anayetaka/somea journalism and mass communication soko lipo vipi.Nawasilisha nikisubiri mawazo yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…