Ufafanuzi

Ufafanuzi

papag

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,156
Reaction score
1,667
kuna tabia iliyozoeleka ktk jamii yetu kwa mfano mtu ana nguvu kwenye mkono wa kulia.akifany kitu kwa mkono wa kushoto anasema huo sio mkono wangu au huo sio mguu wangu.hii kiuhalisia si sahihi.
je wanazuoni wa lugha yetu ya kiswahili unatakiwa useme vipi?
nawasilisha
 
hii njia inaelea wapi tafadhali? ..... kushoto au kulia
 
Back
Top Bottom