whitefather
Member
- May 29, 2018
- 89
- 75
Kibo kya ndesi!!! Gold ya wapi hiyo mangi?Wewe hiyo ni gold aisee..kibooo
Inakua vigumu kufanya rock determination through photo rather than physical observation
Ila kwa mtazamo wangu naona kama Yellow sapphire.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanauzwa kwa tani, tani moja ni milioni 5+, yanapatikana wapi?, uzuri huwa yaandamana na quatz za rangi mbalimbali, kama una bahati unaweza kukutana na pocket yenye shangingi(Alexander right), sapphire za rangi mbalimbali, tourmaline za rangi mbalimbali n.k.Habari,
Kwa yoyote mwenye kujua jina la mawe haya sambamba na soko/bei
AsanteniView attachment 1015662View attachment 1015663
Sent using Jamii Forums mobile app
kama hukuelewa swali vile