kamaka masunga
New Member
- Jun 8, 2016
- 2
- 0
Ingawa umeeleza kwa kupinda pinda ila nafikiri nia yako ni hii. Mtuhumiwa ameiba pesa lakini dhumuni la kuiba pesa hizo ni kufidia deni analodai kutoka kwa Mlalamikaji. Kweli hapo mtuhumiwa ametenda kosa na kama atafikishwa Mahakamani basi ili asalimike na kifungo itambidi atumie kifungu cha SheriaWataaalam naomba nipate ufafanuzi kidgo je kwa mfano ukute mtu anatuhumiwa kosa dogo la kesi ya wizi japo mshtakiwa naye alikuwa anamdai na akatengenezewa kesi ya kuamua kuchukua Mali bila mhusika na kuiba hela na akakiri baadae akafikiria kuwa amefanyiwa uonevu japo alikubali je anaweza kukata rufaaa ili kesi ifanyiwe uchunguzi??????
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkataba waweza kuwa wa kuandikwa au ww maneno na zote mbili zinakubalika kisheria ikiwa tu zimefuata vigezo vyote vya mikataba halali. Hata hivyo kuna baadhi ya mikataba ni sharti iwekwe katika maandishi ndipo ipate nguvu za kisheria na moja wapo ya mikataba hiyo ni ile inayohusisha ununuzi ama kukodisha ardhi. Naomba kuwasilisha!Mkuu Naomba kujua je kuna uhalali wiwote wa oral contract au mkataba wa makubaliano ya maneno na je unanguvu yoyote kisheria mahakamani
Thanks mkuuMkataba waweza kuwa wa kuandikwa au ww maneno na zote mbili zinakubalika kisheria ikiwa tu zimefuata vigezo vyote vya mikataba halali. Hata hivyo kuna baadhi ya mikataba ni sharti iwekwe katika maandishi ndipo ipate nguvu za kisheria na moja wapo ya mikataba hiyo ni ile inayohusisha ununuzi ama kukodisha ardhi. Naomba kuwasilisha!