Ufahamu juu ya ugonjwa huu wa ngozi

Pikiseli

New Member
Joined
Jan 16, 2019
Posts
1
Reaction score
0
JF members samahani naomba kuelewa nna ndugu yangu ana ugonjwa wa ngoz lakin nimezunguka hospitali kadhaa nikapewa baadhi ya dawa ila zote ni kama zina tuliza tu na baadae ugonjw unarudia hadi sasa umeanza kuenea mwili mzima...

Kama kuna uelewa yeyote anao juu ya ugonjwa huu anielekeze kidogo na mm kama ni ugonjwa wa ngozi au ni alergy na wapi nawez pata matibabu.
 
Kama upo Dar es salaam nenda kwa Kinondoni B hosp ya Dr Mvungi kuna dr wa ngozi ana itwa Dr Kishengele ata kusaidia alimtibu mwanangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…